Maombi

-
  • TextText file is a kind of computer file that is structured as a sequence of lines of electronic text.
  • WordUse for Microsoft Office Word or Open Office
  • PDFUse for Abobe Acrobat

Maombi - Nadia Mukami Lyrics


Nadia....
Hoyah hoyah hoyah
Hoyah hoyah hoyahNilichopata nikiomba walisema kitakwisha
Nikitoa shukrani hadharani wakasema najigamba
Hao binadamu walinipa wiki
Sasa imepita miaka bado wanasubiriKazi ya Mungu haina makosa
Ingekuwa binadamu anatoa ningekosaSio juju ni maombi, ni maombi
Si kelele ni maombi, ni maombi
Sio juju ni maombi, ni maombi
Si kelele ni maombi, ni maombi
Hoya hoya hoyaaah
Hoya hoya hoyaaah
Hoya hoya hoyaaahNa mikono nitainua, magoti nipige
Nimweleze jinsi alivyotenda katika Maisha yanguKazi ya Mungu haina makosa
Ingekuwa binadamu anatoa ningekosaSio juju ni maombi, ni maombi
Si kelele ni maombi, ni maombi
Sio juju ni maombi, ni maombi
Si kelele ni maombi, ni maombiHoya hoya hoyaaah
Hoya hoya hoyaaah
Hoya hoya hoyaaahManeno ya wanadamu, yalinilenga kama mishaleee
Ila Mungu hawezi kubali uangukee
Alichoanzisha leo, lazima atakamilisha weeeh
Kazi ya Mungu haina makosa
Ingekuwa binadamu anatoa ningekosaSio juju ni maombi, ni maombi
Si kelele ni maombi, ni maombi
Sio juju ni maombi, ni maombi
Si kelele ni maombi, ni maombiSi uchawii weeeh
Si uleviii eeeh
Si kwa nguvu zangu mieee
Si KaNadia katambeeeee

Maombi lyrics !!!